Wednesday, July 29, 2015

UKAWA WANACHEZEA AKILI ZA WATANZANIA

Wiki tatu zilizopita ndugu lowasa alikuwa ni mmoja kari ya watangaza nia ya kugombea urais kupitia ccm. Kutangaza kwake nia kuliwapa wasanii nguvu ya kuweza kujitangazia ushindi endapo lowasa angechaguliwa kuwa mgombea wa ccm kwa maana Lowasa ana kashfa ya ufisadi na watanzania hawatokuwa tayari kumchagua fisadi. Leo hii huyo lowasa anapigiwa debe na wale wale waliosema kuwa ni fisadi papa kwa kumpa jina la kamanda na kudai eti tuhuma zile alisingiziwa. Watanzania sio wendawazimu wamesikia na wameona . Tukutane oktoba