Tuesday, December 15, 2015

DIAMOND PLATNUMZ KUACHIA MZIGO MWINGINE XMASS?

Baada ya Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania @diamondplatnumz kutoa single yake mpya ambayo inahit katika soko la mziki duniani anatarajia tena kudondosha single nyingine kama zawadi ya kufunga mwaka kwa mashabiki wake. Source yetu ambayo ipo karibu na platnumz imetutaarifu kuwa superstar huyo amepanga kuiachia zawadi hiyo katika tamasha la funga mwaka litakalofanyika tarehe 25 mwezi huu.
Diamond kwa sasa yupo hapa Afrika ya kusini nashoot video aliyoshirikishwa na Mafikizolo.

No comments:

Post a Comment