Saturday, December 19, 2015

Zari amchunia X wake

Ilikuwa ni alhamis tulivu jijini kampala ambapo headliness zilikuwa ni party ya Zari. Watu wengi walijitojeza kwa kujua kwamba Diamond nae lazma atakuwepo bila kujua kuwa zari na diamond wametumia akili ya kibiashara ili kufanya show zao zote zijaze watu. Katika moja ya "sapraiz" ni kutokea kwa Ivan katika party hiyo. Mwanadada zari hakuoneshwa kushangazwa na kuwepo kwa ivan mjengoni na kuendelea kula bata huku akiwapa mgongo rich gangs..! Hizo hapo chini ni baadhi ya pics za yaliyojiri kwenye party hiyo. Kwa picha zaidi watafute zari na ivan instagram.

No comments:

Post a Comment