Thursday, September 26, 2013

Ajali mbaya yatokea mkoani Mbeya

Watu 3 wamefariki dunia papo hapo baada ya malori 2 ya mizigo, moja likitokea DSM na lingine Zambia kugongana uso kwa uso na kisha kuwaka moto eneo la mlima Inyara Mkoani Mbeya,kwa taarifa zaidi endelea kupitia blog hii kwa kuwa tutakuletea update za tukio zima

No comments:

Post a Comment