Thursday, September 26, 2013

Kenya yashambuliwa tena

Leo ni siku ya pili ya maombolezi nchini Kenya, kufuatia shambulizi la kigaidi la Westgate ambako zaidi ya watu sitini waliuawa na mamia wengine kujeruhiwa. Huku majonzi yakiwa bado tele machoni mwa wengi, shambulizi lengine la maguruneti limetokea katika miji ya Wajir na Mandera Kaskazini mwa kenya mpaka sasa ni majeruhi tu ndio wameripotiwa..Miji hii yote inapakana na Somalia..

No comments:

Post a Comment