Sunday, September 29, 2013

hawa ndo viumbe wanaopatikana katika chombo kiluchoonekana angani jioni ya leo

kwa mujibu wa tafiti ziluzofanywa na wana sayansi mbalimbali kuhusiana na maswala ya UFO,imebainika kwamba katika vyombo hivyo ambavyo huonekana kwa nadra sana duniani kuna viumbe kama huyo kwenye picha hiyo.. kwa habar zaid kuhusiana na tukio hili ka ajabu endelea kupitia blog hii na kama umeshuhudia tukio zima na unataka dunia ijue ulichokiona tafadhali tuma ujumbe mfupi kwenda namba +27783262958 anza na neno UFO kisha andika ujumbe wako au nitumie kupitia smkonje@gmail.com

No comments:

Post a Comment