Saturday, September 21, 2013

RICH OZ ATOA YA MOYONI

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Richard Itatiro a.k.a RICH OZ ameomua kuendelea na masomo kwanza na kusimamisha kazi zake za kimuziki baada ya kuchakuliwa kuendelea na High school Mjini Tanga Tanzania. Akizungumza kwa njia ya simu na kutoka shule ya Sekondary Usagara amesema kuwa ameona njia pekee ya kutoka kimaisha ni kitabu na sanaa ni ziada tu! Amesema katika kipindi hiki cha masomo ntakuwa mbali na mambo yote ya mziki na kujikita katika kitabu,muziki bila elimu ni kazi bure.. RICH OZ amesema plan yake baadae ni kuanzisha lebo yake mwenyewe atayoiita Music Oz international. Oz amesikika katika wimbo wa unaoitwa its all a life unaopigwa sana katika kituo cha East cost radio cha durban nchini South Africa..

No comments:

Post a Comment